Friday, June 7, 2013

AJALI NYINGINE IMETOKE LEO CCM ILOMBA BODA BODA NA NA GARI LA PEPSI





Gari la Pepsi lililo kuwa likienda njia ya uyole na pikipiki iliyo lifwata gari ikitokea njia
 ya ilomba.Deleva boda boda ameumia kidogo na amesha pelekwa Hospitalini

                              Picha na steven Designer

No comments:

Post a Comment