Pages
Home
Our Design
Video
Photoshop Tutorial
Monday, June 3, 2013
AJARI MKOANI MOROGORO
Taarifa ya Habari Kutoka ITV:Watu watano
wamefariki dunia baada ya malori mawili
kugongana
uso
kwa uso
katika eneo
la
Maseyu
mkoani Morogoro
na Kusababisha abiria wanaotumia barabara ya Morogoro
Chalinze kukwama kwa zaidi ya saa sita barabarani.
Reported by
http://haki-hakingowi.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment