Wednesday, June 5, 2013

MAANDALIZI YA MISS MBEYA YAME PAMBA MOTO.

Baadhi ya Matukio yanayo endelea  Kwenye kambi  la Miss MBEYA mjini 
Mtenda Hotel iliyopo Soweto Mbeya
Baadhi ya kamati ya Maandalizi ya Miss MBEYA  Inayo talaraji kufanyika Tarehe
 nane Mwezi huu.

Huyu ndiye anae kaa na Washiliki wa Miss MBEYA Mjini  Kambini ....


Baadhi ya Warembo watakao shiriki Miss Mbeya.

Warembo wakifanya Mazoezi ya kucheza muziki kambini

No comments:

Post a Comment