Kampuni inayojishughulisha na mauzo ya ringtones za kazi za wasanii "Push Mobile" na studio iliyofanya kazi nyingi za msanii marehemu Albert Mangwea zimetoa tamko juu ya mauzo ya kazi za Mangwea, ambapo imeomba mashabiki wake wanunue kazi hizo kwa wingi kupitia mitandao ya simu kwa kupitia Code Maalumu, kama njia moja wapo ya kumuenzi na kuenzi kazi zake ili ziendelee kuishi daima na familia yake iweze kufaidika na kazi zake.
No comments:
Post a Comment