Wednesday, June 5, 2013

HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU ALBERT MANGWEA ZAANZA KUTOLEWA.


Dah this is it ndugu yetu mpendendwa ndo ametangulia mbele za
 haki na sasa ule muda wa kutoa heshima za mwisho ndo umewadia.
Mungu awape nguvu wale wote waliofikwa na msiba huu. Image credit DJ Choka



Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari 
kwa watu kutoa heshima za mwisho


Umati wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga
 huku kikosi cha msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by just incase
 anything happens. Sasa naskia watu badala ya kwenda na kuaga wao wako
 busy wanapiga picha kha hizi teknolojia aiseee tutajutaaaa 

Baadhi ya ma super star wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.

No comments:

Post a Comment