Ukiangalia video hii yenye vituko na maneno yanayochekesha sana ikiwashirikisha Robyn, Diddy na Paul Rudd, unaweza kukumbuka ilikuwa vipi kuwa kindergaten, tena kama haujakuwa distructed na kucheka sana kwa ukatuni uliyomo kwenye video hiyo.
ningeweza kujaribu kukuambia nini kimetokea pale Robyn alipowashawishi
Diddy na Paul Rudd kwenda kindergarten, lakini sidhani kam nita-make sense, au kwanini kuna mwanamke anajifungua kwenye dance floor, kwanini Diddy anakula takataka, nitakuchanganya sana,
hahahaaaaa angalia mwenyewe upate majibu ya maswali hayo
No comments:
Post a Comment